Sauti | P Mawenge – Nichukieni Tu
Published on: June 3, 2025

Sauti | P Mawenge – Nichukieni Tu

Sauti | P Mawenge – Nichukieni Tu | Download - [Mp3] Audio

Huyu jamaa P Mawenge, yani mkali wa Hip Hop Bongo, amerudi tena na mbwembwe zake – kaachia banger mpya inaitwa “Nichukieni Tu”. Huu ni mmoja tu kati ya ngoma zilizopo kwenye albamu yake mpya, TAMBO ZA VIWANGO. Kama ulikuwa bado hujasikia, hiyo albamu imeshavunja mtandao – watu wanaipiga stori kila kona, si utani.

Hii Tambo za Viwango imejaa kazi kali za P Mawenge, na inadhihirisha kabisa jinsi alivyo komaa kisanaa. Jamaa anaandika mistari kama anaandika diary ya maisha yake – real talk kabisa. “Nichukieni Tu” yenyewe, balaa tupu. Unaweza kuskia kabisa namna anavyotumia mziki wake kuongelea maisha halisi, vikwazo, na vile alivyojichanua kutoka kwenye magumu hadi kwenye ushindi. Kifupi, Mawenge anaonyesha kwamba bado yupo kwenye game, na anakuja na moto zaidi kuliko zamani.

Sikiliza, Download na kushare "Nichukieni Tu By P Mawenge below

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT