Sauti | P Mawenge – Best Ever
Published on: June 3, 2025

Sauti | P Mawenge – Best Ever | Download - [Mp3] Audio
Basi, msanii mkali wa hip hop Bongo—P Mawenge—amekuja kivingine kabisa na mzigo mpya, unaitwa “Best Ever”. Ule moto umewashwa, ngoma imetoka rasmi, straight kutoka kwenye albamu yake mpya inayosubiriwa hadi watu wanapoteza uvumilivu, TAMBO ZA VIWANGO.
Sasa, hii albamu (yani “Best Ever” ni mmoja wa mabomu humo ndani) imebeba mengi kuliko tu mistari ya kibabe. Kuna story nzito za maisha yake P Mawenge, kidogo historia ya hip hop Bongo, na zile issues za mtaa – sio zile ngoma za kubembelezana tu. Lengo lake? Kurejesha heshima ya hip hop ya kweli Bongo na kuwashtua wale wanamziki wachanga waache mzaha, wapige kazi na kuweka viwango juu kabisa. Kama ulikuwa umelala, sasa amka.
Sikiliza, Download na kushare "Best Ever By P Mawenge below Shiriki chapisho hili na marafiki zako: Facebook Au Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa
Angalia Nyimbo Zingine za P Mawenge