Mawasiliano

Maelezo:
Gundua Muziki wa Afrika Mashariki kwenye SoundFlava! Sikiliza nyimbo maarufu na ugundue wasanii kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Nigeria na kwingineko. Chanzo chako kikuu cha Muziki wa Afrika Mashariki.

Mawasiliano:
Barua pepe: [email protected]
Anwani: Mbinga Mjini, Ruvuma 57401
Saa za kazi:
Jumatatu, Jumanne, Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi, Jumapili
09:00 – 17:00
Huduma kwa Wateja: +255621240437

Tunapenda kusikia kutoka kwako!
Iwe una mapendekezo ya kuifanya SoundFlava iwe bora zaidi, maswali kuhusu huduma zetu, au ungependa kujadili fursa za kibiashara, tafadhali usisite kuwasiliana nasi.

Matangazo kwa Wasanii
Kwa wasanii wanaotaka kutangaza nyimbo zao au video kwenye tovuti hii, bei ni kama ifuatavyo:

Sauti (Audio) = Tsh 5,000/= kwa kila moja.
Video = Tsh. 10,000/= kwa kila moja.
Kumbuka kutuma picha ya jalada (cover photo) kwa kila sauti au video unayotuma kupitia namba ya WhatsApp iliyo hapo juu.

Tuma ada yako kupitia namba hiyohiyo yenye majina (Subiri Maslam) kisha ambatanisha Kitambulisho cha Muamala (Transaction ID) kwenye upakiaji wako wa Media.

Saa za Mawasiliano
Saa zetu za kuwasiliana ni kati ya 09:00 AM na 17:00 PM Saa za Afrika Mashariki (EAT).

Tutafanya tuwezavyo kujibu maswali yako haraka iwezekanavyo ndani ya saa hizi.

Asante kwa uelewa wako na kuwa sehemu ya jamii ya SoundFlava! Tunathamini maoni yako na tunatarajia kuungana nawe.


TOPWAP.LT