Sauti | Kiluza Fanani – Nimekuchagua
Published on: June 23, 2025

Kiluza Fanani, yule mkali wa Singeli kutoka Bongo, amerudi tena kwa mbwembwe! Jamaa huyu, mwenye uwezo wa kutikisa majukwaa bila hata kujaribu sana, ametupia ngoma mpya inaitwa “Nimekuchagua.” Hii ni fire kabisa, straight outta EP yake mpya “Truth” – EP ambayo watu bado hawajaizoea vizuri, lakini kila mtu anaizungumzia.
Kwanza kabisa, “Nimekuchagua” ni kile kile mashabiki wa Singeli wanapenda—speed kali, vibe za mtaa, na ile energy chafu ya Kiluza ambayo huwezi kuipata kokote. Jamaa bado anashikilia misimamo yake, anatupa zile vocal za nguvu ambazo zina reflect maisha na utamaduni wa vijana wa Tanzania mjini. Kama ulikuwa unadhani Singeli imepotea—bro, bado ipo, na Kiluza yuko mstari wa mbele.
Sikiliza, Download na kushare "Nimekuchagua wa Msanii Kiluza Fanani hapa chiniSauti | Kiluza Fanani – Nimekuchagua | Download - [Mp3] Audio
Shiriki chapisho hili na marafiki zako: Facebook Au Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa
Angalia Nyimbo Zingine za Kiluza Fanani