Sauti | Kiluza Fanani – Natumia
Published on: June 23, 2025

Kiluza Fanani, yule jamaa wa Singeli ambaye kwa sasa anapiga kasi kama bodaboda isiyokuwa na breki, amedondosha ngoma mpya inaitwa “Natumia”. Hii ngoma ni moto wa kuotea mbali kutoka kwenye EP yake mpya kabisa, Truth. Sauti yake—ile mbichi kabisa, na zile beat za mwendo wa 180km/h—hazichezewi. Jamaa anaendelea kujenga jina lake kwenye game ya Singeli, na huu wimbo, bwana, umejaa nguvu na hisia za ukweli.
“Natumia” kwa Kiingereza ni kama kusema “I Use”, lakini ukisikiliza kwa makini, si tu kuhusu kutumia kitu. Ni story nzima ya kulewa na mambo ya uraibu, presha ya maisha na vile watu wanavyohukumu tu bila kujua unachopitia. Kiluza anatoboa roho yake humo, akiongelea struggles zake, lakini pia anawapa sauti wale vijana wengi wa mjini wanaopambana na hizi changamoto kila siku. Yani, si tu muziki—ni life kabisa.
Sikiliza, Download na kushare "Natumia wa Msanii Kiluza Fanani hapa chiniSauti | Kiluza Fanani – Natumia | Download - [Mp3] Audio
Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa