Sauti | Yammi – Raha
Published on: June 6, 2025

Sauti | Yammi – Raha | Download - [Mp3] Audio
Yammi – Raha – Huu wimbo “Raha” wa Yammi, msichana anayetoka Tanzania, umekuwa gumzo. Kusema kweli, Yammi anaendelea kuwateka watu kwa sauti yake tamu na maneno yanayogusa moyo—yani, sio lelemama! Kwenye huu wimbo, anashusha maneno kuhusu furaha anayopata akiwa na bae wake. Ni ile raha ya mapenzi ya kweli, unajua ile ya upendo usio na figisu, mtu anakusikiliza na anakuheshimu.
Mashairi yake? Dah, anamsifia tu huyo mpenzi wake jinsi anavyompa amani ya moyo, ile furaha ambayo huwezi hata kuiweka kwenye mizani. Yammi anasema, presence ya mpenzi wake ni kama dawa—inaondoa stress, huzuni, na uchovu wote wa maisha. Huu sio tu wimbo wa mahaba wa kawaida, ni mahaba ya heshima, hakuna mambo ya ajabu-ajabu. Ni ile mapenzi safi, yanayoheshimika.
Sikiliza, Download na kushare "Raha By Yammi below Shiriki chapisho hili na marafiki zako: Facebook Au Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa
Angalia Nyimbo Zingine za Yammi