Audio | Toxic Fuvu Ft Kusah – Naongea Nae
Published on: June 1, 2025

Audio | Toxic Fuvu Ft Kusah – Naongea Nae

Audio | Toxic Fuvu Ft Kusah – Naongea Nae | Download - [Mp3] Audio

Kuna msanii anaitwa Toxic Fuvu – jamaa anayekuja kwa kasi ya ajabu hivi sasa. Amemshirikisha Kusah, yule bosi wa sauti tamu, kwenye ngoma mpya kabisa ya “Naongea Nae”. Aisee, huu wimbo unagusa mpaka unahisi shingo inakutetemeka. Kazi yote imepigwa Tongwa Records, na hawa jamaa siyo mchezo, production yao ni safi balaa.

Unajua ile kitu ya studio kutrendi? Tongwa wanapanda chati kweli. Wameleta sauti ya kimataifa, na wamechanganya ile Afrobeat laini na RnB ya kisasa – yani ukicheza mara moja, lazima utarudia. Ni ule wimbo unapiga kwenye loop bila hata kuchoka, kabisa!

Sikiliza, Download na kushare "Naongea Nae By Audio | Toxic Fuvu below

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT