Sauti | Tekno – Powerbank
Published on: June 28, 2025

Tekno anarudi tena, na safari hii amekuja na ngoma mpya kabisa ya kimapenzi—“Powerbank.” Jamaa hajabadilika, bado ile vibe yake laini, beats zinazoingia mpaka kwenye mifupa, na lyrics zinazomfanya mtu ajione yuko kwenye dancefloor hata kama uko tu sebuleni. Kwenye “Powerbank,” Tekno anamchukulia mpenzi wake kama vile powerbank—yani, si tu chaja, bali chanzo chote cha nguvu zake. Huyo ni battery yake, nishati yake, kila kitu.
Hebu checki “Powerbank” ya Tekno kwenye Boomplay, Spotify, Apple Music, au YouTube. Hata kama umezimia au unahangaika na mood, hii ngoma inaweza kukurudisha kwenye mzuka fasta.
Sikiliza, Download na kushare "Powerbank wa Msanii Tekno hapa chiniSauti | Tekno – Powerbank | Download - [Mp3] Audio
Shiriki chapisho hili na marafiki zako: Facebook Au Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa
Angalia Nyimbo Zingine za Tekno