Sauti | Swaga Milionea Ft Ibraah & Baddest 47 – Unachekesha
Published on: June 16, 2025

Sasa, hivi karibuni Swaga Milionea – yule jamaa wa Tanzania anayeweza kuibadilisha hali ya hewa kwenye muziki – ametupia wimbo mpya kabisa, “Unachekesha”. Kwenye hii ngoma, ameungana na Ibraah (ambaye kila mtu anamjua anatisha kwenye vocals) plus Baddest 47, jamaa wa punchlines za ajabu. Hii “Unachekesha” ndiyo track ya kwanza kwenye EP yake mpya, “TUMEBARIKIWA”, ambayo ina jumla ya ngoma nane – si mchezo, bro.
Wimbo umetoka chini ya lebo ya Muziki wa +1 na King Sajo ndiye ameshikilia usukani kwenye usimamizi. Sasa, “Unachekesha” sio tu ngoma ya kawaida; kuna mchanganyiko wa ubunifu, ucheshi, na sauti kali kiasi kwamba ukisikiliza unashindwa kukaa kimya. Wanagusa ile hali ya watu wanaopenda kujifanya – kama vile wana hela au maisha bomba, kumbe ni porojo tu ili waonekane kwa wengine. Kwa mujibu wa Swaga na wenzake, hizi tabia zimeshindikana kabisa, mpaka unacheka tu – na ndiyo maana wakaita “Unachekesha”. Kwa kifupi, ni wimbo wa kukukuna mbavu huku ukikutana na ukweli mchungu wa mtaa.
Sikiliza, Download na kushare "Unachekesha wa Msanii Swaga Milionea hapa chiniSauti | Swaga Milionea Ft Ibraah & Baddest 47 – Unachekesha | Download - [Mp3] Audio
Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa