Sauti | Rosa Ree – Mjomba Zuberi
Published on: June 28, 2025

Sauti | Rosa Ree – Mjomba Zuberi

Sasa, Rosa Ree amerudi tena, na si kawaida tu – ameachia banger mpya inaitwa “Mjomba Zuberi”. Hii ngoma tayari inachafua mitandao, imejaa moto kila kona. Unajua Rosa Ree, yule dada wa Arusha ambaye hana makuu, anapiga bars za ukweli na haogopi mtu. Hapa ameamua kuonyesha tena kuwa yeye ni malkia wa hip hop kwenye ukanda huu.

Wimbo huu unamzungumzia “Mjomba Zuberi”, jamaa wa kubuni lakini ana uzito kwenye stori. Rosa Ree anatumia jina hilo kutuletea vionjo vya mtaa, flow kali, na ule mdundo wa kisasa uliochanganywa na street vibes za bongo. Hapa hakuna kucheza, ni maudhui mazito – mafumbo, utamaduni, na maswala ya kijamii vimefungwa humo ndani. Kwa kifupi, Rosa Ree anafanya anachojua kufanya – kuleta kali mpya, na bado anabaki kuwa bosi kwenye game.

Sikiliza, Download na kushare "Mjomba Zuberi wa Msanii Rosa Ree hapa chini

Sauti | Rosa Ree – Mjomba Zuberi | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT