Sauti | Ray G Ft Bruce Melodie – Hama
Published on: June 8, 2025

Sauti | Ray G Ft Bruce Melodie – Hama

Sauti | Ray G Ft Bruce Melodie – Hama | Download - [Mp3] Audio

Afrika Mashariki imepata sherehe nyingine ya kimuziki, na safari hii ni “Hama” – collabo kali ya Ray G kutoka Uganda na Bruce Melodie wa Rwanda. Hii si tu ngoma mpya, ni bonge la love story kabisa, imepangwa kama track ya tatu kwenye EP mpya ya Ray G, “Checkmate.” Ukiisikiliza, unagundua si hadithi ya kawaida – ni mwaliko wa kuota ndoto za pamoja, umoja, na future tamu kabisa.

“Hama” inakupeleka moja kwa moja kwenye maisha ya wapenzi wapya, wenye mapenzi motomoto na malengo ya kukua pamoja. Sauti zinachanganya Kiingereza, Kinyarwanda, na Runyankole bila stress, na inatoa ile vibe ya deep connection – si zile za juujuu.

Unaskia kabisa ile roho ya mahusiano ya Afrika Mashariki, na ukisikiliza mara moja tu, utajikuta umetulia tu, ukikumbuka jinsi mapenzi yanavyoweza kuwa na nguvu na uzuri wa kitamaduni.

Sikiliza, Download na kushare "Hama By Ray G below

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT