Sauti | Nyago Man Ft Chino Kidd – History
Published on: June 22, 2025

Sauti | Nyago Man Ft Chino Kidd – History

Sasa hivi Nyago Man, jamaa mkali kabisa wa muziki mwenye asili ya Kibembe kule Kongo, lakini siku hizi anaishi Kigoma, ametupia ngoma mpya inaitwa “History” na amemshirikisha Chino Kidd – yule staa wa Bongo anayejulikana kila kona.

Nyago Man ana sauti yake ya kipekee, unaisikia tu unajua huyu si wa kawaida; anaileta ile ladha ya Kongo alikozaliwa, halafu anaichanganya na vionjo vya mtaa wa Tanzania – matokeo yake ni balaa, ni burudani safi kabisa. Huu wimbo, “History,” sio tu kumsikiliza na kusahau; ni kama party fulani ya ushindi, kujikubali, na kusimama kifua mbele bila kujali umetoka wapi.

Yaani, ni kama anasema, “Wewe, bwana, tengeneza jina lako popote ulipo, usiogope!”

Sikiliza, Download na kushare "History wa Msanii Nyago Man hapa chini

Sauti | Nyago Man Ft Chino Kidd – History | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT