Sauti | Nikki Mbishi x Mansuli x Shaulini x Mtambo – Tukusa 2X
Published on: June 6, 2025

Sauti | Nikki Mbishi x Mansuli x Shaulini x Mtambo – Tukusa 2X | Download - [Mp3] Audio
Hii “Tukusa 2X” imeleta balaa kwenye Bongo Fleva, bwana. Yani, wasanii kibao—majina mazito kama Nikki Mbishi, Mansuli, Mex, Kalpina, Saigon na wengineo—wameamua kuungana na kutengeneza collabo ambayo ni moto wa kuotea mbali. Ukitazama lineup, roho inakutoka tu. Hawa jamaa hawajaenda kivivu, kila mtu ametupa mistari yake kwa ubunifu wa hali ya juu, na mashairi ya nguvu balaa.
Unajua ile vibe ya umoja na nguvu ya hip hop ya kibongo? Hii ngoma ndiyo definition yake. Kila msanii amekuja na ladha yake, lakini wameungana vizuri kama vile wamezoea kufanya kazi pamoja miaka kibao.
Sio tu burudani, kuna ujumbe mzito pia ndani ya hizi beti—yaani, si tu beat kali na punchlines, bali pia maudhui yanayogusa. Kwa kifupi, hii project ni mfano wa kile muziki wetu unavyoweza kufanya ukiwa na passion na ubunifu. Kama unapenda hip hop ya ukweli, “Tukusa 2X” lazima uisikilize.
Sikiliza, Download na kushare "Tukusa 2X By Nikki Mbishi x Mansuli x Shaulini x belowZinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa