Sauti | Nedy Music Ft Xouh – Ni Wewe
Published on: June 20, 2025

Sauti | Nedy Music Ft Xouh – Ni Wewe

Ebu ngoja nikuambie, Nedy Music—yule balaa wa sauti kule Zanzibar—kaja kivingine kabisa na ngoma mpya ya mahaba inaitwa “Ni Wewe”, akamvuta pia Xouh kwenye hili dili. Hii track ni sehemu ya EP yake mpya, The Voice Of The Island—kama jina linavyojieleza, ni mzigo mzima wa vibes za Kizanzibar, utamaduni safi na sauti tamu zinazobembeleza roho.

Sasa “Ni Wewe”, aisee, ni love song yenye hisia kali—unaskia kabisa imetungwa na mtu ambaye amewahi kuguswa na penzi la ukweli. Melody ni tamu, Kiswahili kinadunda bila kujikakamua, na zile vocals za Nedy na Xouh zinachanganyana vizuri kweli, kama chai ya rangi na mkate wa siagi. Instrumental inaileta ile touch ya Afro-fusion flani hivi, inafanya ngoma iwe laini na ya kusisimua. Kwa kifupi, ukiweka hii kwenye playlist yako ya mahaba, usishangae ukijikuta unarudia mara mbili tatu bila kujua.

Sikiliza, Download na kushare "Ni Wewe wa Msanii Nedy Music hapa chini

Sauti | Nedy Music Ft Xouh – Ni Wewe | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT