Sauti | Lionize Ft Mr Nobody Tz – Usingo Utaniua
Published on: June 3, 2025

Sauti | Lionize Ft Mr Nobody Tz – Usingo Utaniua | Download - [Mp3] Audio
Basi, kuna msanii mpya anaitwa Lionize—anaingia kwenye game ya Bongo Fleva kama moto wa kuotea mbali. Jamaa amedrop wimbo mpya, “Usingo Utaniua”, na guess what? Amemleta Mr. Nobody Tz kwenye collabo. Huyu Mr. Nobody Tz ni yule rapa mwenye sauti ile ya kipekee, unajua ile inakukata hadi roho, na mashairi hayana utani.
Sasa huu wimbo sio tu stori za mapenzi za kawaida. Hapana, ni full hisia. Lionize anabeba machungu yote ya kudanganywa na mpenzi wake, anavyoumia kimya kimya – yani ile unashindwa hata kumpigia mtu story. Halafu Mr. Nobody Tz anaingia na verse zake, anarusha maneno yanakata kama wembe, anazidi kuongeza uzito wa ujumbe.
Ni kama wimbo unaongea na moyo wako moja kwa moja, especially kama umewahi kuchomwa na mapenzi. Huu ni muziki wa maumivu, usanii wa ukweli. Kama unataka vibe ya “nimeachwa lakini bado nimesimama,” basi play hiyo “Usingo Utaniua.”
Sikiliza, Download na kushare "Usingo Utaniua By Lionize belowZinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa