Sauti | Lady Jaydee – Mfano
Published on: June 21, 2025

Mwanamuziki nguli kutoka Tanzania, Lady Jaydee, amerudi tena na moto mpya—kaachia ngoma yake mpya inaitwa “Mfano”, na kwa kweli, mashabiki wa Bongo Fleva wameshapagawa nayo tayari.
Ilianguka rasmi Juni 2025, “Mfano” si tu wimbo wa kawaida; huu ni balaa la hisia, ukali wa vesi, na sauti ya Jaydee inapenya hadi kwenye roho. Ukomavu? Usiseme. Amejionyesha amekua kisanaa na kimuziki, na unaisikia hiyo nguvu kwenye kila laini ya wimbo.
Sikiliza, Download na kushare "Mfano wa Msanii Lady Jaydee hapa chiniSauti | Lady Jaydee – Mfano | Download - [Mp3] Audio
Shiriki chapisho hili na marafiki zako: Facebook Au Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa
Angalia Nyimbo Zingine za Lady Jaydee