Sauti | Kusah Ft Billnass – Rewind
Published on: June 20, 2025

Hii collabo ya Kusah na Billnass, yani imekuja vibaya! Wametuletea “Rewind”, track mpya kali kabisa ambayo imeshika kasi Afrika Mashariki, na sio utani—imeachia wiki hii tu, tayari watu wanaitafuta kila kona, Spotify, Boomplay, jina lote.
Sasa, “Rewind” sio tu ngoma ya mapenzi ya kawaida. Unapata zile vocals tamu za Kusah, halafu Billnass anachomekea mistari yake ya rap laini, unajikuta unarudia tu verse. Wamegusa ile hisia ya kutamani ungeweza kurudisha muda nyuma, ukarekebisha yale madudu uliyofanya kwenye penzi lako la zamani. Story ya wengi wetu, siyo? Yani, kama umewahi wish ungepata second chance, huu wimbo ni wako kabisa.
Sikiliza, Download na kushare "Rewind wa Msanii Kusah hapa chiniSauti | Kusah Ft Billnass – Rewind | Download - [Mp3] Audio
Shiriki chapisho hili na marafiki zako: Facebook Au Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa
Angalia Nyimbo Zingine za Kusah