Sauti | Kizz Daniel Ft Diamond Platnumz – Tere
Published on: June 2, 2025

Sauti | Kizz Daniel Ft Diamond Platnumz – Tere

Sauti | Kizz Daniel Ft Diamond Platnumz – Tere | Download - [Mp3] Audio

Haya basi, kwenye anga za muziki wa Afrika, ukilitaja jina la Kizz Daniel, watu wengi wanatikisa vichwa tu—jamaa ana kipaji cha hali ya juu, hawezi hata kidogo kutoa nyimbo za kawaida. Mwaka huu, bro amerudi kivingine na album yake ya pili, No Bad Songz (NBS). Na usidanganyike, mashabiki tayari wameshapagawa nayo kila kona ya dunia. Yaani, ukisikiliza “Tere”, ule wimbo wa harusi unaonukia highlife akiunganisha nguvu na Diamond Platnumz wa Bongo Fleva, utajua tu hapa hakuna utani.

No Bad Songz ni kama Kizz Daniel anasema, “Acha nikuonyeshe sipigii muziki mchezo.” Album inaanza na “Gods,” afrobeat yenye vionjo vya kiroho, halafu “No Do”, ambayo basically inakuambia, usijifanye Rambo—pima uwezo wako, vaa shati linalokutosha, siyo unajilazimisha mambo makubwa bila uwezo.

Ukienda kwenye “Ghetto”, utaskia vibe ya mtaa kabisa, amemshirikisha Nasty C, na pale “Kojo”, Sarkodie wa Ghana anakuja na mistari ya hip-hop kali ajabu. Kuna zingine pia hazibahatishi kama “Nesesari”, “Madu”, “Somebody Dey”, na “Bad” ambapo amemvuta Wretch 32 kutoka UK. Kwa kifupi, huu ni mzigo—hakuna skip track hapa, ni bonge la album.

Sikiliza, Download na kushare "Tere By Kizz Daniel below

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Zinazofanana kutoka Nchi Moja

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT