Sauti | Kibonge Wa Yesu Ft Ester Shimwela – Nimeachilia
Published on: June 25, 2025

Sauti | Kibonge Wa Yesu Ft Ester Shimwela – Nimeachilia

Mhudumu wa Injili Tanzania, Kibonge wa Yesu, amerudi tena na moto mwingine – wimbo mpya unaitwa “Nimeachilia”. Hapa amemshirikisha Ester Shimwela, mwenye sauti ile ya upako inakupiga hadi roho. Hakuna mzaha, huu wimbo unaenda moja kwa moja kwenye moyo, unakuambia, “Acha kupambana, mpe Mungu steering wheel.”

Wimbo umetoka 2025, na ukweli ni kwamba, ni collabo kali – unachanganya vionjo vya ibada za Kiswahili na ule uzito wa ujumbe wa kiroho. Ni ile ngoma ya watu waliochoka, wamebanwa na maisha, au wanahisi kama wamefika mwisho. Inawakumbusha, “Bro, relax, mwache Mungu afanye kazi yake.” Hii ni aina ya wimbo unacheza ukiwa umelala kitandani, machozi yanatiririka, lakini unaanza kusmile polepole.

Sikiliza, Download na kushare "Nimeachilia wa Msanii Kibonge Wa Yesu hapa chini

Sauti | Kibonge Wa Yesu Ft Ester Shimwela – Nimeachilia | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT