Sauti | Kassam – Utanimiss
Published on: June 14, 2025

Sauti | Kassam – Utanimiss

Msanii anayechipukia Tanzania, Kassam, ametingisha tena! Jamaa katoka kapa na hii ngoma yake mpya, “Utanimiss”—sio ya mchezo. Hii ngoma inagusa hadi ndani ya moyo, especially kama umeshawahi kuumia kwenye mapenzi (na let’s be honest, nani hajawahi?). Saa hizi, “Utanimiss” inapatikana kila kona – Spotify, Boomplay, YouTube, yani popote unapopenda kusikilizia ngoma zako – na tayari watu wameshaanza kuizungumzia kila mahali, mitandaoni na hata vijiweni.

Jina lenyewe, “Utanimiss” (au “Utanikosa” kwa Kingereza), linajieleza. Mdundo ni mchanganyiko bomba wa Bongo Flava na Afro-pop, na Kassam anakuja na hisia mbichi, zile za moyoni kabisa. Unajua ile hali ya uhusiano kufa, lakini badala ya kulia lia na manung’uniko, Kassam ameachia ukweli na unyenyekevu. Kwaya inakuja na ule mstari mkali kabisa:

Sikiliza, Download na kushare "Utanimiss wa Msanii Kassam hapa chini

Sauti | Kassam – Utanimiss | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT