Sauti | Hamadai Ft Whozu – Deka
Published on: June 12, 2025

Sauti | Hamadai Ft Whozu – Deka

Hamadai, kijana anayechanua kwenye muziki Tanzania, ameamua kushirikiana na Whozu – yule jamaa wa Bongo Flava anayezichana kinoma – na wametupia banger mpya ya kimahaba inaitwa “Deka”. Sasa hivi, huu wimbo umevamia vichwa vya watu Tanzania na hata nje, unajua vijana walivyo na mapenzi yao!

Ukisikia “Deka”, ni kama kusema umependelewa au umebebwa na upendo hadi unaanza kulegea. Maneno kwenye ngoma hii yanazungumzia mtu aliyekula shida kwenye mapenzi (umeshawahi kumwaga chozi kwa crush wako? Huyo ndiye). Lakini mwisho wa siku, kapata mtu anayemthamini kweli, sio wale wa kupoteza muda. Yaani, kama unapenda love stories za kutoka chini hadi juu, hii ngoma ni yako kabisa.

Sikiliza, Download na kushare "Deka wa Msanii Hamadai hapa chini

Sauti | Hamadai Ft Whozu – Deka | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT