Sauti | Goulam Ft Zaoidi – Sukari
Published on: June 14, 2025

Aisee, Goulam wa Comoro kashirikiana na Zaoidi, jamaa si wa mchezo, na wametuletea ngoma mpya moto kabisa – “Sukari”. Hii ngoma mpya imeshawasha moto kwenye platforms za muziki. Unajua, “Sukari” – kama jina lenyewe linavyosema, ni laini na inavutia, beats zake ni za kitropiki, lyrics ziko deep, na kuna ile vibe ya tamaduni tofauti tofauti. Ukiwa shabiki wa Afro-pop au unafurahia sauti za visiwani, hii ngoma ni lazima kuicheki.
Lakini ngoja nikwambie – “Sukari” si tu wimbo wa kawaida, ni kama safari ya utamaduni. Goulam ameachia vocal zake kwenye Kicomorian (Shindzuani), na bado kuna French na Kiswahili zimechanganywa humo humo. Ndiyo maana wasikilizaji wanatoka visiwa vya Bahari ya Hindi mpaka bara – wote wanahisi connection. Sio tu ngoma, ni experience.
Sikiliza, Download na kushare "Sukari wa Msanii Goulam hapa chiniSauti | Goulam Ft Zaoidi – Sukari | Download - [Mp3] Audio
Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa