Sauti | Frege X Nash MC X Tiffa flowz X Chid Beenz X Bad Ngundo X Saigon.. – Bila Wewe
Published on: June 2, 2025

Sauti | Frege X Nash MC X Tiffa flowz X Chid Beenz X Bad Ngundo X Saigon.. – Bila Wewe | Download - [Mp3] Audio
Dah, Tanzania imepiga hatua nyingine kwenye game ya hip hop! Sasa hivi kila mtu anazungumzia balaa jipya la track “Bila Wewe” – yani hawa jamaa, Frege, Nash MC, Tiffa Flowz, Chid Beenz, Bad Ngundo, Saigon, Jaheem, Nikki Mbishi na Tabby, wameshirikiana kutoa kitu kisicho na mfano. Hii sio tu miziki, ni kama wameweka roho zao kwenye mistari.
Unajua zile ngoma ambazo kila msanii anapiga verse mpaka unaanza kujisikia kama story inahusu maisha yako? Hiyo ndo “Bila Wewe.” Mashairi yanachoma, yanaibua mawazo, na wala hawajarudi nyuma kuongelea machungu, mafanikio, na vikwazo walivyokutana navyo. Ni kama wanawapa mashabiki kioo waone jinsi walivyopambana kutoka chini bila kubebwa na wale waliowatenga au kuwadharau zamani. Kabisa, hii ngoma ni moto! Kama ulikuwa hujaiskia bado, honestly, unajichelewesha mwenyewe.
Sikiliza, Download na kushare "Bila Wewe By Frege X Nash MC X Tiffa flowz X Chi belowZinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa