Audio | Dogo Elisha – Tambo
Published on: June 1, 2025

Audio | Dogo Elisha – Tambo

Audio | Dogo Elisha – Tambo | Download - [Mp3] Audio

Sasa hivi, moto wa Bongo Fleva unazidi kushika kasi, na unajua nini? Kuna dogo mmoja anaitwa Dogo Elisha, anakimbiza mbaya kinoma. Jamaa anaongeza mashabiki kila siku, na safari hii kachora collabo na Dicky Flavour – yule mkali wa midundo laini, ushawahi msikia? Wameachia wimbo mpya, “Tambo”, ambao si mchezo.

Kitu kimetengenezwa chini ya uangalizi wa PDH, producer anayepanda mbio kwenye game ya muziki Bongo. Huyu jamaa ni noma, anaweka ubunifu wake hadi unashindwa kuelewa kapitia wapi.

Uzalishaji wa ngoma yenyewe, acha tu, PDH ametisha. Amecheza na vyombo, kapiga beats za hatari, kacheza na sauti mpaka wimbo umekuwa kama gold. Vocal zimekaa fresh, instrumental inavuta sikio – yani, si wimbo wa kawaida huu. “Tambo” inaletwa na vibe tofauti, inajitofautisha kabisa na ngoma nyingi zinazotoka kila wiki. Kama ulikuwa unatafuta kitu kipya kwenye playlist yako, basi usiache hii ipite.

Sikiliza, Download na kushare "Tambo By Audio | Dogo Elisha below

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT