Sauti | Dizasta Vina – Karibu Duniani
Published on: June 6, 2025

Bana, Dizasta Vina yuko tena mtaani! Jamaa huyu wa Hip Hop kutoka Bongo hachoki kabisa—kafyatua track mpya inaitwa “Karibu Duniani”. Hii ngoma sio ya mchezo, mashairi mazito, mistari inakata kama kisu cha mgahawa, na bado anabeba ule muvi wa Hip Hop ya Kitanzania asilia.
Leo ndo imeachia rasmi, na watu tayari wanazungumzia kwenye kila kona ya mtandao—Instagram, X, WhatsApp status, kila mahali. “Karibu Duniani” inagusa maisha ya kawaida, zile changamoto tunapambana nazo daily, na venye watu wanahangaika kutafuta pao kwenye dunia hii ya vichwa ngumu. Kama ulikuwa unataka ngoma ya kutikisa ubongo na moyo, basi hii ndio hiyo.
Sikiliza, Download na kushare "Karibu Duniani wa Msanii Dizasta Vina hapa chiniSauti | Dizasta Vina – Karibu Duniani | Download - [Mp3] Audio
Shiriki chapisho hili na marafiki zako: Facebook Au Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa
Angalia Nyimbo Zingine za Dizasta Vina