Sauti | Diamond Platnumz x Masterpiece YVK Ft Xman RSA & Lintonto – Down
Published on: June 27, 2025

Diamond Platnumz, yule jamaa anayetamba kila kona Bongo, ameungana na YVK kutoka kule Sauzi na kupiga kolabo mpya inaitwa “Down.” Hawa wawili wamechukua vichwa vipya Xman RSA na Lintonto, wakaweka kwenye track hii ambayo imetoka leo—kabisa fresh from the oven. Kama ulikuwa unafikiria Bongo Flava na Amapiano haviwezi kuchanganyika, basi ngoja usikie hii ngoma. Imeshusha Kiswahili tamu, hook zinazokamata fasta, na beats za piano ambazo huwezi kukaa kimya nazo—miguu lazima ishtuke tu.
Production yake? Ah, ni ile ya kuufanya ukose staha kwenye dancefloor. Iko clean, iko tight, na honestly, imejaa ile vibe ya “weekend iko hapa, shida zimesahaulika.” Hii ni wimbo wa klabu, lakini pia unaweza kucheza ukiwa sebuleni bila stress. Kweli, East na South wameleta moto mpya.
Sikiliza, Download na kushare "Down wa Msanii Diamond Platnumz x Masterpiece YVK hapa chiniSauti | Diamond Platnumz x Masterpiece YVK Ft Xman RSA & Lintonto – Down | Download - [Mp3] Audio
Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa