Sauti | Daddy Face Ft Kusah – Nawe
Published on: June 4, 2025

Sauti | Daddy Face Ft Kusah – Nawe | Download - [Mp3] Audio
Msanii anayekuja kwa kasi, Daddy Face, ameungana na Kusah—yule staa wa Bongo Fleva anayekimbiza—wameachia ngoma mpya inaitwa “Nawe.” Hii si tu ngoma ya mapenzi, ni bonge la wimbo lenye hisia nzito na mdundo unaokata kiuno ile mbaya, thanks to Mafeeling Pro kwenye production.
Huyu Mafeeling Pro, si wa mchezo. Jamaa anajua kuunda beats zinazogusa roho, na kwenye huu wimbo amechora ramani ya emotions zako. Sio lazima uwe na bae, utajikuta tu unahisi mapenzi.
Sikiliza, Download na kushare "Nawe By Daddy Face below Shiriki chapisho hili na marafiki zako: Facebook Au Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa
Angalia Nyimbo Zingine za Daddy Face