Sauti | Centano – Nimechelewa
Published on: June 8, 2025

Sauti | Centano – Nimechelewa

Sauti | Centano – Nimechelewa | Download - [Mp3] Audio

Wacha nikuambie, mashabiki wa muziki Bongo wanapenda sherehe, na sasa hivi, kila mtu anazungumzia tamasha jipya linalotikisa mtaa. Unamjua Centano, yule jamaa wa Kigoma mwenye sauti ya kipekee? Basi, amekuja tena na banger mpya – “Nimechelewa”. Jamaa huyu ana kipaji cha kutia watu presha, yaani mashairi yake yanakukuna moyo hadi unaanza kukumbuka ex wako usiyemkumbuka siku nyingi.

Hii ngoma yake, “Nimechelewa”, ni kama drama ya mapenzi iliyochanganywa na reality check. Amechora picha ya mtu aliyekata tamaa, akafikiri kashapata soulmate, kumbe wapi – ilikuwa kiki tu. Maneno yake si ya kisanii tu, ni maumivu safi. Hata verse moja inakata penyewe:
“Alinifanya niamini hakuna mzuri kama yeye, huku duniani…”

Yaani, kama umewahi kudanganywa mapenzi, hii ngoma itakutoboa roho bila huruma. Sauti ya Centano inabeba uchungu wa mtu aliyefika mwisho wa reli. Hii si nyimbo ya kusikiliza ukiwa na mood ya furaha, labda kama unataka kulia kimya kimya. Lakini, kwa mashabiki wa kweli wa Bongo Flava, hii ni lazima upige replay.

Sikiliza, Download na kushare "Nimechelewa By Centano below

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT