Sauti | Black Mamba Kisingeli Ft Dogo Elisha – Muha
Published on: June 3, 2025

Sauti | Black Mamba Kisingeli Ft Dogo Elisha – Muha

Sauti | Black Mamba Kisingeli Ft Dogo Elisha – Muha | Download - [Mp3] Audio

Yaani, Tanzania sasa inasukumwa na mziki mpya kabisa—hii ni kutoka kwa Black Mamba Kisingeli na Dogo Elisha, mastaa wa Bongo wenye mashiko yao. Wametupia ngoma yao mpya inaitwa “MUHA”. Iko moto, bro! Producer Fadhili Chunchu ndiye ameishika hii project; huyu jamaa ni mkali wa kutengeneza vibes za kisasa na bado anaweka ladha za kiasili.

Umeshawahi kuskia ngoma inagonga lakini bado ina feel ya home? Hii hapa. “MUHA” inacheza na mitindo ya leo, lakini haupotezi ule utamu wa Bongo uliozoea. Chunchu anaijua kazi yake, si mchezo!

Sikiliza, Download na kushare "Muha By Black Mamba Kisingeli below

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT