Sauti | Agape Gospel Band – Ba Million
Published on: June 19, 2025

Sauti | Agape Gospel Band – Ba Million

Muziki wa Injili bongo bado upo kwenye moto, yani! Sasa hivi kuna track mpya inaitwa “Ba Million” – hii ni kali, usidanganyike. Imetoka kwa Agape Gospel Band kutoka Tanzania, na wameamua kumleta yule mshikaji mkali wa Zimbabwe, Mkhululi Bhebhe, kwenye collabo hii.

Wimbo wenyewe umekuja rasmi June 2025 (yep, bado fresh kabisa), na honestly, ni ule wa kukuchangamsha roho. Unaskia tu energy ya ibada na zile vibes za “Mungu ametubariki mpaka hatujui hata pa kuanzia kushukuru.” Kichwa cha “Ba Million” si tu neno la kawaida; wanamaanisha baraka ziko nyingi mpaka huwezi hata kuhesabu – yaani, zaidi ya mamilioni. Kama ulikuwa unatafuta wimbo wa kuinua maisha yako kiroho, basi huu ndio spot.

Sikiliza, Download na kushare "Ba Million wa Msanii Agape Gospel Band hapa chini

Sauti | Agape Gospel Band – Ba Million | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT