Sauti | Diamond Platnumz – Si Uko Tayari
Published on: June 8, 2025

Sauti | Diamond Platnumz – Si Uko Tayari

Sauti | Diamond Platnumz – Si Uko Tayari | Download - [Mp3] Audio

Acha nikuambie, kabla Diamond Platnumz hajawa yule mfalme wa Bongo Flava tunayemjua leo, alikuwa na vibao vikali vilivyoteka mashabiki tangu day one. Moja ya hizo ngoma ambazo bado hazijachuja ni “Si Uko Tayari” – hii ni classic straight kutoka kwenye albamu yake ya kwanza, Kamwambie. Ukiskia watu wana nostalgia, mara nyingi ni kwa sababu ya huu wimbo.

Sasa, kwenye enzi zake za mwanzo kabisa, Diamond alishadunda na “Si Uko Tayari”, na ukweli ni kwamba huu ni mfano wa ubunifu wake na jinsi anavyoweza kubeba story nzima kwenye verse mbili tu, unajikuta unaimba naye bila hata kujua.

Yule jamaa Ben Mwamba ndiye aliyepika beat, na bila yeye, ile flavour ya mapema ya Diamond isingekuwa kama ilivyo. Huu wimbo sio tu ulikuwa balaa, bali uliweka msingi wa mziki wake mpaka leo.

Sikiliza, Download na kushare "Si Uko Tayari By Diamond Platnumz below

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT