Sauti | Ben Pol – Mpenzi
Published on: June 27, 2025

Sauti | Ben Pol – Mpenzi

Haya, Ben Pol amerudi tena kwenye game! Jamaa hataki kupumzika kabisa, sasa ametuachia banger mpya inaitwa “Mpenzi”. Hii ngoma ni moto wa kuotea mbali, na tena inazidi kumpa nafasi kubwa kwenye ramani ya R&B East Africa. Ukisikia tu jina lake “Mpenzi” (a.k.a Lover kwa Kingereza), tayari unajua hapa mapenzi yamechanganya kabisa na hisia kali.

Unajua zile nyimbo zinazokufanya utake kurudia chorus mara mia? Hii ndo hiyo. Ben Pol anaandika mistari kwa ustadi wa hali ya juu, anakupa story ya mapenzi ambayo inakugusa hadi ndani. Anatupa maneno straight kutoka moyoni, akimwambia bae wake jinsi upendo wake ulivyomgeuza kabisa—ile mtu anabadilika tu, anakuwa softie. Harafu ule mdundo wake, jamani! Ni laini na tamu, mashabiki wa muziki wa mahaba wa Kiswahili lazima waipende tu. Sio mchezo, Ben Pol anajua anachokifanya.

Sikiliza, Download na kushare "Mpenzi wa Msanii Ben Pol hapa chini

Sauti | Ben Pol – Mpenzi | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT