Sauti | Motra The Future – Kiubishi Ubishi
Published on: June 27, 2025

Sauti | Motra The Future – Kiubishi Ubishi

Basi, unajua tena – game ya hip-hop Bongo ilikuwa imetulia tu, ghafla Motra The Future akaja na “Kiubishi Ubishi” na kuamsha kila mtu. Hii ngoma ni moto, straight outta Arusha, na Motra anakuja na zile punchlines zake za hatari, storytelling ya ukweli, vile unavyomjua – hakuna kusingizia. Huyu jamaa anaishi mtaa, anaongea mtaa, na anawakilisha mtaa bila chenga.

“Kiubishi Ubishi” sio tu ngoma nyingine ya kutupa. Hapana, hii ni statement, bro. Motra ameamua kuweka wazi kuhusu marafiki fake, usanii wa industry na vile inavyokuwa ngumu kusimama na msimamo wako ukiwa umezungukwa na watu wa kujificha mask. Beat kali, maneno yamepangika, Kiswahili kimetumika kihuni – anatupa makavu live bila chenga. Kama ulikuwa unashangaa bado Motra ana nguvu kiasi gani Arusha na Bongo nzima, hii ngoma inaweka mambo wazi. Mashabiki na hata wale critics wanaopenda kubisha, watabaki kimya tu.

Sikiliza, Download na kushare "Kiubishi Ubishi wa Msanii Motra The Future hapa chini

Sauti | Motra The Future – Kiubishi Ubishi | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT