Video | Mbosso – Pawa
Published on: June 20, 2025

Huyu Mbosso, bwana, amerudi tena na moto wa ajabu! Amewapa mashabiki wake kitu kipya – “Pawa” – na video yake mpya kabisa tayari inachukua headlines. Sio tu Tanzania, hata nje ya mipaka, watu wanashinda wakicheza na kuimba huu wimbo.

Chini ya label ya Khan Music, “Pawa” inakuja na zile sauti za Mbosso ambazo huwezi kukosea – zile zinakukata roho, unajikuta tu unakumbuka ex wako bila sababu. Jamaa anaweza kuimba mapenzi na maumivu mpaka unajisikia kama story ni yako. Sio siri, Mbosso anajua kucheza na hisia za watu, na mara nyingine tena, anaonyesha kabisa kwanini bado anashika nafasi ya juu kwenye game la Bongo Flava. Hakuna kulala, huyu jamaa ni noma!

Download na kushare "Pawa (Video) wa Msanii Mbosso hapa chini

Video | Mbosso – Pawa | Download - [Mp4] Video

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT