Sauti | Vanillah – I Gat You
Published on: June 19, 2025

Vanillah yuko tena hewani, this time akileta ngoma mpya ya mapenzi inaitwa “I Gat You.” Jamaa huyu, unamjua tu kwa ile sauti yake inayopenya hadi kwenye mifupa, na style zake za kuvutia watu bila hata kujaribu sana. Sasa hivi amedondosha track nyingine kali, inahusu ile vibe ya kujitolea, kujali, na ule uhusiano wa kiroho kwenye mapenzi. Si zile love songs za kawaida tu, hapa kuna kitu cha ziada.
“I Gat You” – yani, huu ni mchanganyiko bomba wa R&B na Bongo Flava, umejaa mistari inayotoka rohoni na beat ambayo inakufanya usikae tu, lazima ujiunge na mdundo. Hapa Vanillah anaonesha ile loyalty ya ukweli, ile ahadi ya kuwa na mpenzi wako bila kujali hali ikoje. Ukiusikiliza, utapata tu ile hisia ya, “Aisee, huyu jamaa anamaanisha.” Mashabiki wataupenda tu bila hata kuuliza mara mbili.
Sikiliza, Download na kushare "I Gat You wa Msanii Vanillah hapa chiniSauti | Vanillah – I Gat You | Download - [Mp3] Audio
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa