Sauti | Munta Dee Ft Dogo Elisha – Hafai
Published on: June 19, 2025

Singeli ya Bongo, bwana, haiishi vituko! Kila siku kuna kitu kipya kinazuka, na safari hii Munta Dee amefanya mambo na Dogo Elisha—wameachia “Hafai”, wimbo ambao tayari unaunguza speakers za mitaa na playlist za watu. Usidanganyike ukafikiri ni nyimbo ya kwenda kucheza tu club, hapana, “Hafai” inakuja na msimamo, na attitude ya mtaa vile inavyopaswa.
Bado ni Singeli ile ya kasi—vibe ya mtaa, mistari inachoma, na beat inakufanya usimame tu, ushindwe kukaa kimya. Hakuna kule kupoza moto, hizi ndizo ngoma ambazo vijana wa Bongo wanapenda kuzisikiliza wakiwa kwenye daladala au mtaa, ukiona mtu anashake kichwa bila mpangilio, basi jua “Hafai” inachezwa.
Sikiliza, Download na kushare "Hafai wa Msanii Munta Dee hapa chiniSauti | Munta Dee Ft Dogo Elisha – Hafai | Download - [Mp3] Audio
Shiriki chapisho hili na marafiki zako: Facebook Au Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa
Angalia Nyimbo Zingine za Munta Dee