Sauti | Chine – Unafubaa
Published on: June 17, 2025

Sauti | Chine – Unafubaa

Chine anarudi tena, safari hii na “Unafubaa”—ngoma ya nguvu, inachana ukweli kuhusu mapenzi ya kinafiki, waigizaji wanaojifanya na watu wanabadilika faster kuliko upepo ukibadilika mtaa.

Haya mashairi ni makali balaa, straight from the streets—Unafubaa inawashika wale wanaopiga kelele lakini wakishikwa pabaya wanadoda. Story ya kawaida sana, si unajua kwenye mahusiano na kila siku? Chine anaweka attitude na beat safi, inafanya wimbo ufeel raw na real kabisa. Hapa hakuna kujifanya.

Sikiliza, Download na kushare "Unafubaa wa Msanii Chine hapa chini

Sauti | Chine – Unafubaa | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT