Sauti | Foby Ft Meja kunta – Tiktap
Published on: June 13, 2025

Sauti | Foby Ft Meja kunta – Tiktap

Mwimbaji wa gospel anayekimbiza Tanzania, Foby, ameingia studio na yule mzee wa kukamata mic, Meja Kunta, na kutupia kibao kipya kinaitwa “Tiktap.” Huu sio ule wimbo wa injili wa kawaida wa kusinzia kanisani—hapana. Hapa wamechanganya gospel na vionjo vya kisasa, beat kali, halafu ujumbe uliopigwa chapa na mambo yote ya kidigitali ya siku hizi.

“Tiktap” basically ni shoutout kwa kizazi cha TikTok—unajua vile wadada wanavyojiongeza huko, wanavyopiga content, wanavyovuta macho, na mara nyingine kabisa, wanavyoiba mioyo za watu bila huruma. Foby na Meja Kunta wanawapa props na pia wanachomeka injili ndani. Sasa, kama ulikuwa unadhani gospel ni ya wazee tu, pole sana—hii ngoma itakufanya ubadilishe mawazo faster kuliko unavyoscroll TikTok.

Sikiliza, Download na kushare "Tiktap wa Msanii Foby hapa chini

Sauti | Foby Ft Meja kunta – Tiktap | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT