Sauti | TheLuchi Ft Chris Kaiga x Ssaru & Muruthi Myna – Tikitaka
Published on: June 12, 2025

Jamani, muziki wa Afrika Mashariki sasa hivi ni kama moto wa kuotea mbali—na “Tikitaka” ndiyo kiboko yao! Hii ngoma mpya ya TheLuchi, jamaa anayepanda chati Kenya kwa kasi ya mwendo wa pikipiki, imeleta balaa. Sio yeye tu, ameleta na Chris Kaiga, Ssaru (yule boss wa mistari ya mtaa), na Muruthi Myna – yani lineup kali balaa.
Ilianguka tu mwezi wa sita, 2025, lakini tayari kila mtu anaitaja—kutoka kwenye playlists za Spotify mpaka WhatsApp status za watu. “Tikitaka” imechanganya zile vibe za mtaa wa Nairobi na Afrobeat yenye nguvu ya kukufanya usimame tu uanze kucheza bila kujua. Iwe uko club, kwenye matatu, ama unasafisha nyumba wikendi, hii ngoma lazima ikupitishe mahali!
Sikiliza, Download na kushare "Tikitaka wa Msanii TheLuchi hapa chiniSauti | TheLuchi Ft Chris Kaiga x Ssaru & Muruthi Myna – Tikitaka | Download - [Mp3] Audio
Shiriki chapisho hili na marafiki zako: Facebook Au Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa
Angalia Nyimbo Zingine za TheLuchi