Sauti | Eddy kenzo Ft Chase Bell x Suckarie & Kwaw Kese – Twist
Published on: June 11, 2025

Sauti | Eddy kenzo Ft Chase Bell x Suckarie & Kwaw Kese – Twist

Mzee wa supastaa wa Uganda, Eddy Kenzo, amerudi tena na collabo mpya inayojulikana kama “Twist.” Hii time, amewabeba mastaa kibao—Chase Bell kutoka Marekani, Suckrie wa Jamaika, na Kwaw Kese, yule jamaa wa rap kutoka Ghana. Hii singo ni kama party ya muziki—Afrobeat, dancehall, na pop vimechanganywa kichizi mpaka inabamba tu.

Unaskia, “Twist” inachanganya sauti na vibe tofauti, kila msanii anachangia flavor yake. Eddy Kenzo, yule jamaa wa “Sitya Loss” na “Tweyagale,” ametoa zile vocals zake za nguvu na beats zinazoamsha hata mvivu.

Chase Bell anachomeka ile pop ya kizungu, Suckrie anachanganya na ile energy ya Caribbean (ile unafanya tu miondoko bila kujielewa), halafu Kwaw Kese anakuja na zile bars za kufoka za Ghana—hapo sasa, ushaelewa! Hii ngoma ni lazima uisikize kama unapenda muziki wa dunia nzima.

Sikiliza, Download na kushare "Twist wa Msanii Eddy kenzo hapa chini

Sauti | Eddy kenzo Ft Chase Bell x Suckarie & Kwaw Kese – Twist | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT