Sauti | Aslam Tz – Habibty
Published on: June 11, 2025

Sauti | Aslam Tz – Habibty

Aslam Tz, yule jamaa anayechanua kwenye muziki Bongo, amerudi tena na track mpya kabisa – “Habibty”. Sasa hivi, ngoma hii ndiyo inachukua headlines, na si kwa bahati mbaya. Mseto wa Kiswahili na Kiarabu, una maanisha “My Love” kwa tafsiri ya haraka haraka. Wimbo umetoka leo tu, na tayari unafanya mtaa usilale—sauti tamu, mashairi yanagusa roho, na utayarishaji wake balaa, si mchezo.

Ukiisikiliza “Habibty”, Aslam Tz anaonyesha ule ustadi wake wa kipekee—anavyocheza na sauti, unaskia kabisa anaweka hisia ndani ya mistari. Anaimba kuhusu upendo usiokuwa na mipaka, uaminifu wa kweli, na ule uzuri wa mahusiano halisi. Wewe ni wa team love, au umeshawahi kuchomwa moyo, ama unataka tu kuburudika na ngoma kali—hii track iko ndani kabisa na hisia zako. Unajua tu, hii ni wimbo wa lazima kwenye playlist yako.

Sikiliza, Download na kushare "Habibty wa Msanii Aslam Tz hapa chini

Sauti | Aslam Tz – Habibty | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT