Sauti | Matata Ft Mejja – Tiki Tako
Published on: June 7, 2025

Sauti | Matata Ft Mejja – Tiki Tako

Sauti | Matata Ft Mejja – Tiki Tako | Download - [Mp3] Audio

Sasa hebu tusonge mbele, Matata—yule jamaa wa Afro-pop kutoka Kenya—ameamua kuleta balaa tena, safari hii akishirikiana na Mejja, mzee wa punchline za Genge. Wametupa banger mpya inaitwa “Tiki Tako.” Hii ngoma iko kwenye repeat kila kona ya East Africa, na si bure, maana mdundo wake unakukaba shingo hadi unasahau shida zako. Ni kama party anthem halisi, unapiga mistari na bado unahisi kama uko sherehe ya maisha yako.

“Tiki Tako” inakuja na vibe ya kuji-enjoy tu, hakuna presha. Wamechanganya Afro-pop, Genge na zile ladha za Kenya—mseto wa hatari. Mistari inahusu starehe, kudansi, na ile energy ya ‘usijali mambo, enjoy life.’ Kama unamjua Matata na Mejja, unajua hawachezi mbali na hiyo formula yao ya kufanya watu wasimame tu na kucheka, kushake na kusahau stress.

Sikiliza, Download na kushare "Tiki Tako By Matata below

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT