Sauti | Jennifer Mgendi – Ninapata Sababu
Published on: June 6, 2025

Sauti | Jennifer Mgendi – Ninapata Sababu

Sauti | Jennifer Mgendi – Ninapata Sababu | Download - [Mp3] Audio

Jennifer Mgendi, yule malkia wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania, amerudi tena na ngoma mpya kali kabisa – “Ninapata Sababu.” Huu si tu wimbo, ni kama dozi ya matumaini unayohitaji pale roho inapolegea.

Jennifer anajulikana sana kwa zile nyimbo zake ambazo sio tu zinaburudisha, bali pia zinagusa hadi kwenye mifupa, na safari hii, ameleta kitu cha kipekee, kinachoamsha roho na kukuacha ukijiuliza, “Mbona sijaisikia mapema?”

Kama jina lake linavyosema, “Ninapata Sababu” – yaani unaambiwa, kila siku, kila wakati, hata ukipitia msoto wa dunia, bado kuna sababu ya kumpa Mungu shukrani na kusogea mbele ukiwa na matumaini. Ni wimbo unaokumbusha, usikate tamaa bana, mambo yanabadilika tu, na Mungu bado yupo kazini. Kama ulikuwa umekata tamaa, huu wimbo utakurudisha kwenye reli fasta.

Sikiliza, Download na kushare "Ninapata Sababu By Jennifer Mgendi below

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT