Sauti | Nay Wa Mitego – Nyie Ni Nani?
Published on: June 6, 2025

Huyu jamaa Nay Wa Mitego, yani si mchezo kabisa. Mara hii amerudi tena na huu ngoma mpya “Nyie Ni Nani?”—ile title tu, unajua tayari kuna moto unakuja. Wimbo umetoka leo, na bila hata kupoteza muda, tayari umeshika headlines kila kona kwenye socials na majukwaa ya muziki. Hakuna kulala, watu wanabishana tu.
Sasa, ukimsikiliza Nay hapa, ni yule yule—hana break, hana uoga, straight to the point. Muziki kwake ni kama kioo cha jamii, anasema kile watu wengine wanaogopa kutamka. Hapa anawatupia dongo marafiki wa kujifanya, wale wanaokosoa bila mpango, na anachana kabisa double standards za watu. Na vile anavyofanya kwa style yake, yani huwezi kumchoka. Kawaida yake, si unajua?
Sikiliza, Download na kushare "Nyie Ni Nani? wa Msanii Nay Wa Mitego hapa chiniSauti | Nay Wa Mitego – Nyie Ni Nani? | Download - [Mp3] Audio
Shiriki chapisho hili na marafiki zako: Facebook Au Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa
Angalia Nyimbo Zingine za Nay Wa Mitego