Sauti | Khaligraph Jones – Goshoree
Published on: June 6, 2025

Sauti | Khaligraph Jones – Goshoree

Sauti | Khaligraph Jones – Goshoree | Download - [Mp3] Audio

Haya, Khaligraph Jones—yule OG mwenye mbwembwe za hip-hop Kenya, au kama unampenda kumuita Papa Jones—karudi tena, na safari hii amedondosha “Goshoree”. Aisee, wimbo huu ni moto wa kuotea mbali! Unajua ile vibe ya Khaligraph, mistari mizito, Kiswahili na Kingereza zinachanganyika, na ile confidence yake haitishi mtu? Basi, amerudi nayo mara mbili!

Baada ya kupotea kidogo, watu wakaanza kuulizana, “Vp OG?” Alafu sasa amerudi na Goshoree, anapiga show kama kawaida—beat kali, delivery imeshiba, na haiba yake, jamani, haishindwi.

Wimbo umetoka leo tu lakini tayari kila mtandao ni Goshoree Goshoree. Kama ulikuwa na shaka na utawala wake, basi shikilia roho—huyu jamaa bado yupo juu ya game, na amekuja kusema, “Msisahau mimi ni nani!”

Sikiliza, Download na kushare "Goshoree By Khaligraph Jones below

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT