Sauti | Mzee Wa Bwax Ft Hassani Mapenzi – Marejesho
Published on: June 2, 2025

Sauti | Mzee Wa Bwax Ft Hassani Mapenzi – Marejesho | Download - [Mp3] Audio
Aisee, kama hujasikia huu wimbo mpya wa Mzee Wa Bwax na Hassani Mapenzi—“Marejesho”—basi umelala sana. Yaani, ni moja ya zile ngoma zinazokupeleka mbali, hasa kama umeshawahi kuachwa na mtu uliyekuwa unampenda mpaka unaumia koo. Hii si tu nyimbo ya mapenzi ya kawaida; ni kama wameandika story ya watu wengi, ile heartbreak ya kweli.
Unaskia kabisa Hassani Mapenzi anavyoteseka kwenye vocals zake, hala hala sauti ya huzuni inakuchoma mpaka kwenye roho. Halafu Mzee Wa Bwax, huyu mzee ana maneno yake, mashairi full kejeli, anachomekea mafunzo humo humo, yani unaweza kucheka na kulia at the same time. Ni ngoma kali, si ya kupitwa. Kama unapitia machungu ya mapenzi, piga play—utaelewa ninachosema.
Sikiliza, Download na kushare "Marejesho By Mzee Wa Bwax below Shiriki chapisho hili na marafiki zako: Facebook Au Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye Zinazofanana kutoka Nchi Moja
Tazama Kategoria Zingine
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa
Angalia Nyimbo Zingine za Mzee Wa Bwax