Sauti | B2K Mnyama Ft Cheed – Hellow
Published on: June 2, 2025

Sauti | B2K Mnyama Ft Cheed – Hellow

Aisee, B2K Mnyama amerudi tena na moto mwingine – “Hellow”. Na sio peke yake, kasimama na Cheed, yule jamaa anayeweza kukufanya ufeeling love hata kama huna mpenzi. Wimbo umetoka leo tu, lakini tayari unatembea kila kona ya socials, watu wanashindana kuweka clip kwenye status zao, na usisahau zile platforms za muziki kama Boomplay, Audiomack, na YouTube – full rotation!

Kuhusu ngoma yenyewe, ni mapenzi – na sio yale ya textbook, hizi ni zile story za maumivu real, zile zinakugusa mpaka ndani. B2K amefunguka, unaskia kabisa machungu yake kwenye verse, ile unaskia mtu anaongea kutoka moyoni. Cheed naye, duh, ameingiza vibe yake laini ile inafanya mtu unataka urudie tu chorus mara kumi. Kwa ufupi, hii collabo imepiga – si ya kupuuzia. Kama bado hujaisikia, honestly, uko nyuma kidogo.

Sikiliza, Download na kushare "Hellow wa Msanii B2K Mnyama hapa chini

Sauti | B2K Mnyama Ft Cheed – Hellow | Download - [Mp3] Audio

Shiriki chapisho hili na marafiki zako:
Shares
Kwa taarifa mpya, tufuate kwenye     Facebook Au   Twitter (X) Pia, kwa maswali au maoni mengine, Wasiliana Nasi wakati wowote.

Tazama Kategoria Zingine

1Nyimbo Mpya za Audio Mp3 Download Hapa
2Nyimbo Mpya za Video Mp4 Utazipata Hapa
3BongoFlava Nyimbo Zote Mpya Download ukurasa huu
4Nyimbo Mpya za Singeli zipo Hapa
5Nyimbo zote Mpya za Injili (Gospel) Download Hapa
6Ngoma Mpya za Amapiano Angalia kwenye ukurasa Huu
7Nyimbo Mpya za Kaswida ingia Hapa



TOPWAP.LT